Saturday, March 3, 2012

Friday, March 2, 2012

karagwe: HAYA NDIYO MAISHA BORA

karagwe: HAYA NDIYO MAISHA BORA: vijana hawa wakiwa katika ufukwe wa ziwa victori mjini Bukoba wakijiandaa kwenda kwenye shughuli zao za uvuvi kama ajira yao ya kila siku ...

HAYA NDIYO MAISHA BORA

vijana hawa wakiwa katika ufukwe wa ziwa victori mjini Bukoba wakijiandaa kwenda kwenye shughuli zao za uvuvi kama ajira yao ya kila siku .kutokana na hili vijana wanapaswa kujitafutia ajira kuliko kusubili maisha bora kwa kila mtanzania kauli hewa na tata kwa watanzania.

KAZI ZA MIKONO ZAPASWA KUTHAMINIWA NA KUHESHIMWA

mmoja wa waandishi wa habari biLenath Kipaka akiangalia baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa na kikundi cha BUDAP kinachounganisha baadhi ya wenye ulemavu mjini Bukoba.